Player FM - Internet Radio Done Right
15 subscribers
Checked 1d ago
Menambahkan nine tahun yang lalu
Konten disediakan oleh France Médias Monde and RFI Kiswahili. Semua konten podcast termasuk episode, grafik, dan deskripsi podcast diunggah dan disediakan langsung oleh France Médias Monde and RFI Kiswahili atau mitra platform podcast mereka. Jika Anda yakin seseorang menggunakan karya berhak cipta Anda tanpa izin, Anda dapat mengikuti proses yang diuraikan di sini https://id.player.fm/legal.
Player FM - Aplikasi Podcast
Offline dengan aplikasi Player FM !
Offline dengan aplikasi Player FM !
Podcast Layak Disimak
DISPONSORI
<
<div class="span index">1</div> <span><a class="" data-remote="true" data-type="html" href="/series/all-about-change">All About Change</a></span>


How do we build an inclusive world? Hear intimate and in-depth conversations with changemakers on disability rights, youth mental health advocacy, prison reform, grassroots activism, and more. First-hand stories about activism, change, and courage from people who are changing the world: from how a teen mom became the Planned Parenthood CEO, to NBA player Kevin Love on mental health in professional sports, to Beetlejuice actress Geena Davis on Hollywood’s role in women’s rights. All About Change is hosted by Jay Ruderman, whose life’s work is seeking social justice and inclusion for people with disabilities worldwide. Join Jay as he interviews iconic guests who have gone through adversity and harnessed their experiences to better the world. This show ultimately offers the message of hope that we need to keep going. All About Change is a production of the Ruderman Family Foundation. Listen and subscribe to All About Change wherever you get podcasts. https://allaboutchangepodcast.com/
Afrika Ya Mashariki
Tandai semua (belum/sudah) diputar ...
Manage series 1072613
Konten disediakan oleh France Médias Monde and RFI Kiswahili. Semua konten podcast termasuk episode, grafik, dan deskripsi podcast diunggah dan disediakan langsung oleh France Médias Monde and RFI Kiswahili atau mitra platform podcast mereka. Jika Anda yakin seseorang menggunakan karya berhak cipta Anda tanpa izin, Anda dapat mengikuti proses yang diuraikan di sini https://id.player.fm/legal.
…
continue reading
24 episode
Tandai semua (belum/sudah) diputar ...
Manage series 1072613
Konten disediakan oleh France Médias Monde and RFI Kiswahili. Semua konten podcast termasuk episode, grafik, dan deskripsi podcast diunggah dan disediakan langsung oleh France Médias Monde and RFI Kiswahili atau mitra platform podcast mereka. Jika Anda yakin seseorang menggunakan karya berhak cipta Anda tanpa izin, Anda dapat mengikuti proses yang diuraikan di sini https://id.player.fm/legal.
…
continue reading
24 episode
Semua episode
×
1 Athari za mgogoro wa DRC katika mataifa ya Afrika 9:42
9:42
Putar Nanti
Putar Nanti
Daftar
Suka
Menyukai9:42
Mgogoro wa Mashariki ya DRC umeendelea kwa miongo kadhaa, na bado ni moja ya changamoto kubwa za kiusalama na kisiasa Barani Afrika. Katika Mashariki ya DRC , kuna makundi ya waasi kama vile M23 , ADF , Twirwaneho, ambayo yameongeza umwagaji damu na kusababisha maelfu ya watu kuhama kutoka maeneo yao. Siasa za kikanda, ushindani wa madaraka kati ya mataifa kama Rwanda yana iweka DRC njia panda kila uchao Karibu katika Makala ya Afrika mashariki hii tunangaza mgogoro mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mwandalizi na msimulizi wako naitwa Martin Nyoni nasema karibu tuwe sote hadi tamati Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) inakabiliwa na mzozo mkubwa wa kibinadamu, hasa katika majimbo ya mashariki ya Ituri, Kivu Kaskazini, Kivu Kusini na Tanganyika, kutokana na migogoro ya silaha na mapigano baina ya jamii. Mnamo Septemba 2024, Shirika la Kimataifa la Uhamiaji ( IOM )…

1 Umuhimu wa kutunza lugha mama katika jamii za Afrika 9:59
9:59
Putar Nanti
Putar Nanti
Daftar
Suka
Menyukai9:59
Karibu katika Makala ya Afrika mashariki hii leo tukiangaza safari ya miaka 25 ya UNESCO kuenzi lugha mama na nafasi ya lugha mama katika kukuza maendeleo ya jamii Mwandalizi na msimulizi wako naitwa Martin Nyoni nasema karibu tuwe sote hadi tamati ya Makala haya. Lugha ni muhimu kwa elimu na maendeleo endelevu, zikitumika kama njia kuu ambayo maarifa hupitishwa na tamaduni kuhifadhiwa. Kwa mujibu wa taarifa iliyo chapishwa katika tovuti ya Umoja wa mataifa inaeleza kukiwa na takriban lugha 8,324 duniani leo, nyingi ziko hatarini kutoweka kutokana na utandawazi na mabadiliko ya jamii. Kuhakikisha kwamba mifumo ya elimu inaunga mkono haki ya mtu ya kujifunza katika lugha-mama ni muhimu sana katika kuboresha matokeo ya kujifunza, kwani wanafunzi wanaofundishwa kwa lugha wanayoelewa kikamilifu huonyesha ufahamu bora, ushirikishwaji, na ustadi wa kufikiri kwa kina.…

1 Namna wakazi wanaoishi karibu na migodi wanaweza kufaidika na shughuli hizo 9:44
9:44
Putar Nanti
Putar Nanti
Daftar
Suka
Menyukai9:44
Makala ya Afrika mashariki hii leo tunatuwama na kuangazia kwa namna gani wakazi wanaozunguka migodi ya madini kupitia uwajibikaji kwa jamii. Mchango wa Sekta ya Madini katika Pato la Taifa umekua, na kukua huku ni kutokana na ongezeko la asilimia 7.3 kwa mwaka 2021 hadi kufikia asilimia 9. Kwa kuzingatia umuhimu wa sekta hii serikali ya Tanzania imechukua hatua muhimu ya kuhakikisha kwamba wawekezaji wakubwa na wadogo kwenye Sekta ya Madini wanaendesha shughuli zao kwa tija kwa kuwezesha mazingira wezeshi ya uwekezaji na upatikanaji teknolojia unaimarika, hii ni pamoja na kuendelea kuboresha miundombinu mbalimbali ambayo serikali imeamua kuimarisha kwa lengo la kuvutia uwekezaji na kuwezesha uwekezaji huo kuleta faida kwa kila mwekezaji.…

1 Tanzania: Changamoto wanazokabiliwa nazo watu wenye Albinism mjini Mwanza 9:33
9:33
Putar Nanti
Putar Nanti
Daftar
Suka
Menyukai9:33
Watu wenye ualbino Afrika Mashariki, na hasa nchini Tanzania, wanakutana na changamoto kubwa za kijamii, kisiasa na kiuchumi. Vilevile, wanakumbana na unyanyapaa, ubaguzi, na vitendo vya kikatili vinavyoweza kupelekea madhara makubwa, ikiwa ni pamoja na mauaji na uharibifu wa miili yao. Ingawa jamii ya watu wenye ualbino imekuwa na umakini wa kimataifa, bado wanakumbana na hatari na shida kubwa, hasa katika maeneo ya vijijini. Katika hali hii, sanaa ya uimbaji imekuwa chombo muhimu cha kuelimisha jamii na kubadili mitazamo potofu kuhusu ualbino, ikichochea mabadiliko katika matendo na hisia za jamii kuhusu watu hawa.…

1 Safari ya miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar 9:21
9:21
Putar Nanti
Putar Nanti
Daftar
Suka
Menyukai9:21
Zanzibar ilipata uhuru kamili mnamo Desemba 10, 1963, kutoka kwa Uingereza, Waarabu walio wachache walifanikiwa kushika madaraka waliyorithi kutoka kwa Zanzibar kuwepo kama eneo la ng'ambo la Oman.

1 Tanzania: Kuongezeka kwa visa vya ugonjwa wa usugu wa vimelea dhidi ya dawa 9:44
9:44
Putar Nanti
Putar Nanti
Daftar
Suka
Menyukai9:44
Wiki hii tunatuwa nchini Tanzania tukiangaza kuongezeka kwa visa vya ugonjwa wa usugu wa vimelea dhidi ya dawa (UVIDA)

1 Uwekezaji katika sekta ya kilimo mkoani Arusha Kaskazini mwa Tanzania 9:59
9:59
Putar Nanti
Putar Nanti
Daftar
Suka
Menyukai9:59
Sekta ya Kilimo inaongoza kuwa na fursa nyingi za uwekezaji kwa nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika mashariki na Afrika kwa ujumla kwa mfano uzalishaji wa Ngano, mafuta ya kupikia, matunda na mboga mboga, mbolea, Viatilifu, mbegu bora, vifungashio, kupunguza upotevu wa mazao baada ya mavuno na eneo la kilimo cha umwagiliaji.…

1 Tanzania: Kumbukizi ya miaka 119 tangu kuibuka kwa vita vya majimaji 9:59
9:59
Putar Nanti
Putar Nanti
Daftar
Suka
Menyukai9:59
Karibu katika Makala ya Afrika mashariki, hii leo tunatuwama nchini Tanzania katika Mkoa Lindi uliopo kusini mwa Tanzania mahali ilipo ibuka vita vya majimaji mara hii ikiwa ni kumbukizi ya miaka 119 tangu kuibuka kwa vita vya Majimaji. Vita vya Majimaji vilipata mizizi yake katika eneo la Nandete Kipatimu, ambapo jamii za Matumbi zilijitokeza kwa ujasiri dhidi ya ukandamizaji wa kikoloni. Roho hii ya upinzani ilichochea moto ulioenea hadi katika eneo la Ruvuma, ambapo watu wa huko, wakichochewa na ujasiri wa majirani zao, walianza kuungana katika mapambano yao wenyewe. Wao pia waliharibu barabara walizolazimishwa kujenga, wakigeuza mandhari ya ukandamizaji kuwa uwanja wa vita kwa ajili ya uhuru. Uasi huu wa pamoja ulionyesha azma inayokua miongoni mwa jamii za kupambana na ukweli mgumu wa utawala wa Kijerumani na kudai heshima yao.…

1 Wiki ya vijana ilivyoaadhimishwa mjini Mwanza nchini Tanzania 9:59
9:59
Putar Nanti
Putar Nanti
Daftar
Suka
Menyukai9:59
Tunaangazia jinsi vijana wanavyoweza kutumia fursa za kidijitali katika kukuza na kuimarisha shughuli zao za kiuchumi mjini Mwanza nchini Tanzania.

1 Tanzania: Mradi wa Jenga Kesho Bora ulivyoanza kutoa mazao kwa wafugaji wa samaki 9:59
9:59
Putar Nanti
Putar Nanti
Daftar
Suka
Menyukai9:59
Namna Mradi wa Jenga Kesho Bora (BBT), unaosimamiwa na Wizara ya Kilimo nchini Tanzania ulivyoanza kutoa mazao kwa wafugaji wa samaki kwa njia ya vizimba ndani ya Ziwa Victoria.

1 Maadhimisho ya kimataifa ya siku ya lugha ya alama 9:59
9:59
Putar Nanti
Putar Nanti
Daftar
Suka
Menyukai9:59
Jamii imetakiwa kujifunza lugha ya alama ilikuweza kuwasiliana vyema na watu wanaoishi na ulemavu wa kusikia.

1 EAC: Namna mafunzo ya ujasiriamali yanaweza kuwainua vijana 9:56
9:56
Putar Nanti
Putar Nanti
Daftar
Suka
Menyukai9:56
Katika Makala ya Afrika mashariki hii leo tunatuwama kuangaza na kumulika namna mafunzo ya ujasiriamali yanaweza kuwainua vijana walio ukanda wa Afrika mashariki kupunguza ukali wa Maisha kutokana na kukosa ajira.

1 Maonesho ya awamu ya19 ya biashara katika nchi za Afrika Mashariki 9:59
9:59
Putar Nanti
Putar Nanti
Daftar
Suka
Menyukai9:59
Maonyesho haya pamoja na kutoa fursa kwa makampuni ya Afrika mashariki kujifunza na kupanua wigo wa biashara za nje kwakutumia fursa zilizopo za makubaliano ya kibiashara kati ya nchi washiriki nahata kuvuka mipaka ya kufikia juuiya nyingine kwama vile SADC, AGOA,na EBA

1 EAC: Fursa za uchumi wa samawati katika Ziwa Victoria 9:59
9:59
Putar Nanti
Putar Nanti
Daftar
Suka
Menyukai9:59

1 Maendeleo ya shughuli za uvuvi kwenye maziwa Tanganyika na Victoria 9:59
9:59
Putar Nanti
Putar Nanti
Daftar
Suka
Menyukai9:59
Hivi karibu serikali ya Tanzania iliitaka taasisi ya uvuvi ya Ziwa Victoria (LVFO) kuandaa mkakati wa kulifunga ziwa hilo kwa kipindi kirefu. Kauli hiyo inakuja siku chache baada ya kufunguliwa kwa Ziwa Tanganyika lililofungwa kwa miezi mitatu kutoka Mei 15 hadi Agosti 15, 2024 kwa ajili ya kuruhusu samaki kuweza kuzaliana kwa wingi…
Selamat datang di Player FM!
Player FM memindai web untuk mencari podcast berkualitas tinggi untuk Anda nikmati saat ini. Ini adalah aplikasi podcast terbaik dan bekerja untuk Android, iPhone, dan web. Daftar untuk menyinkronkan langganan di seluruh perangkat.