Player FM - Internet Radio Done Right
14 subscribers
Checked 9h ago
Menambahkan nine tahun yang lalu
Konten disediakan oleh France Médias Monde and RFI Kiswahili. Semua konten podcast termasuk episode, grafik, dan deskripsi podcast diunggah dan disediakan langsung oleh France Médias Monde and RFI Kiswahili atau mitra platform podcast mereka. Jika Anda yakin seseorang menggunakan karya berhak cipta Anda tanpa izin, Anda dapat mengikuti proses yang diuraikan di sini https://id.player.fm/legal.
Player FM - Aplikasi Podcast
Offline dengan aplikasi Player FM !
Offline dengan aplikasi Player FM !
Habari RFI-Ki
Tandai semua (belum/sudah) diputar ...
Manage series 1143115
Konten disediakan oleh France Médias Monde and RFI Kiswahili. Semua konten podcast termasuk episode, grafik, dan deskripsi podcast diunggah dan disediakan langsung oleh France Médias Monde and RFI Kiswahili atau mitra platform podcast mereka. Jika Anda yakin seseorang menggunakan karya berhak cipta Anda tanpa izin, Anda dapat mengikuti proses yang diuraikan di sini https://id.player.fm/legal.
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.
24 episode
Tandai semua (belum/sudah) diputar ...
Manage series 1143115
Konten disediakan oleh France Médias Monde and RFI Kiswahili. Semua konten podcast termasuk episode, grafik, dan deskripsi podcast diunggah dan disediakan langsung oleh France Médias Monde and RFI Kiswahili atau mitra platform podcast mereka. Jika Anda yakin seseorang menggunakan karya berhak cipta Anda tanpa izin, Anda dapat mengikuti proses yang diuraikan di sini https://id.player.fm/legal.
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.
24 episode
Semua episode
×H
Habari RFI-Ki

1 Mazungumzo ya Kigali na Washington kuhusu Rwanda kuwapokea wahamiaji kutoka Marekani 10:01
10:01
Putar Nanti
Putar Nanti
Daftar
Suka
Menyukai10:01
Leo hii tunaangazia Mazungumzo kati ya nchi ya Rwanda na Marekani kuhusu Kigali kuwapokea wahamiaji haramu watakaofukuzwa kutoka Washington. Unazungumziaje mazungumzo haya sawia na kauli ya mashirika ya Kimataifa ya kutetea haki za binadamu yakiongozwa na Amnesty International, yanayosema mpango huo utakiuka haki za wakimbizi? Skiliza kauli mbalimbali katika makala ya leo.…
H
Habari RFI-Ki

1 Uganda yapitisha mswada kuruhusu raia kushtakiwa kwenye mahakama ya kijeshi 9:50
9:50
Putar Nanti
Putar Nanti
Daftar
Suka
Menyukai9:50
Wabunge wa upinzani hata hivyo walisusia kikao kilichopitisha mswada huo kwa haraka. Wanasiasa wa upinzani wanadai mswada huo unawalenga wakosoaji wa rais Yoweri Museveni
H
Habari RFI-Ki

1 Kauli ya rais wa Tanzania Samia Suluhu kuwazuia wanaharakati wa nchi zingine 9:27
9:27
Putar Nanti
Putar Nanti
Daftar
Suka
Menyukai9:27
Leo tunaangazia ,hatua ya Tanzania kuwazuia Mawakili, wanaharakati wa haki za binadamu kutoka nchini Kenya, akiwemo Jaji Mkuu mstaafu Willy Mutunga waliokwenda kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili kiongozi mkuu wa upinzani Tundu Lissu. Rais Samia Suluhu Hassan, amesema serikali yake haitaruhusu wanaharakati wa kigeni kuingia nchini Tanzania na kuingilia masuala ya ndani ya nchi yake.…
H
Habari RFI-Ki

1 Nini kifanyike kumaliza vita vinavyoendelea Sudan,Ukraine na Gaza 10:02
10:02
Putar Nanti
Putar Nanti
Daftar
Suka
Menyukai10:02
Viongozi wa dunia, wameendelea kutoa wito wa amani kwenye nchi za Sudan Ukraine na Gaza hizo, ambako vita vimesababisha vifo vya maelfu ya raia na wengine kuwa wakimbizi. Hata hivyo licha ya wito huu, mapigano yameendelea kuripotiwa.
H
Habari RFI-Ki

1 Uteuzi wa Papa Leo XIV kama kiongozi mpya wa kanisa katoliki duniani 9:46
9:46
Putar Nanti
Putar Nanti
Daftar
Suka
Menyukai9:46
H
Habari RFI-Ki

1 Hali ya mafuriko katika mataifa ya Afrika Mashariki na pembeya Afrika 9:56
9:56
Putar Nanti
Putar Nanti
Daftar
Suka
Menyukai9:56
H
Habari RFI-Ki

1 Maoni ya waskilizaji kuhusu vipindi vyetu juma hili 9:58
9:58
Putar Nanti
Putar Nanti
Daftar
Suka
Menyukai9:58
Juma hili waskilizaji wetu walikuwa na maoni haya kuhusu taarifa zetu
H
Habari RFI-Ki

1 Je kuna hofu ya kutokea kwa vita vya tatu vya dunia 10:00
10:00
Putar Nanti
Putar Nanti
Daftar
Suka
Menyukai10:00
Katika makala haya tunajadili athari ya vita vya ukraine na Urusi na sasa tishio la vita nyingine kati ya India na Pakistan. Je ni shara ya kutokea kwa vita vya pili vya dunia ? ndilo swali tumekuuliza. Skiza baadhi ya maoni ya waskilizaji.
H
Habari RFI-Ki

1 News Zealand kudhibiti mitandao ya kijamii kwa watoto 9:55
9:55
Putar Nanti
Putar Nanti
Daftar
Suka
Menyukai9:55
Shaba ya makala haya inalenga news Zealand ambapo serikali inapendekeza marufuku ya matumizi ya mitandao kwa watoto walio na umri wa chini ya miaka 16, lengo likiwa kuwakinga dhidi ya athari za mitandao. Njia gani wazazi wa kiafrika wanaweza kuwalinda watoto na mitandao ya kijamii? Ndilo swali tumeuuliza na haya hapa baadhi ya maoni yako, skiza makala haya.…
H
Habari RFI-Ki

1 Dunia uhuru wa vyombo vya habari na wanahabari 9:36
9:36
Putar Nanti
Putar Nanti
Daftar
Suka
Menyukai9:36
Leo mada yetu inajikita kwa siku ya kimataifa ya uhuru wa vyombo vya habari, ambapo Umoja wa Mataifa umesema licha ya baadhi ya nchi kupiga hatua katika ulinzi wa wanahabari, hofu ya uhuru wa habari kuendelea kuminywa inaendelea kutanda. Mwaka jana jumla ya wanahabari 82 walipoteza maisha wakitekeleza majukumu yao. Tuambie nchini mwako vyombo vya habari viko huru? Haya hapa baadhi ya maoni yako, skiza makala.…
H
Habari RFI-Ki

H
Habari RFI-Ki

1 Rasimu ya makubaliano kati ya DRC na Rwanda ya kutafuta suluhu ya mzozo 9:40
9:40
Putar Nanti
Putar Nanti
Daftar
Suka
Menyukai9:40
H
Habari RFI-Ki

1 Mchakato wa kumchagua kiongozi mpya wa kanisa katoliki duniani 10:02
10:02
Putar Nanti
Putar Nanti
Daftar
Suka
Menyukai10:02
Kwa sasa macho yakiwamulika makadinali 135 watakaochagua papa mpya ndani ya siku chache zijazo, mjadala kuhusu Papa kutoka Afrika ukishamiri.Mchakato wa kumchagua p
H
Habari RFI-Ki

1 Joseph Kabila adaiwa kurejea DRC kupitia Goma 9:53
9:53
Putar Nanti
Putar Nanti
Daftar
Suka
Menyukai9:53
Juma lililopita ripoti ambazo hazijathibitishwa rasmi zilieleza kuwa rais wa zamani wa DRC, Joseph Kabila alirejea nchini Mwake kupitia mji wa Goma unaokaliwa na waasi wa M23 wanaosaidiwa na Rwanda. Hata hivyo hatua yake imeifanya serikali ya Kinshasa, kusimamisha shughuli zote za chama chake cha PPRD, ikikituhumu kushurikiana na waasi hao. Unazungumziaje kurejea kwa rais Kabila? Ndilo swali tumekuuliza katika makala haya. Skiza maoni ya mskilizaji.…
H
Habari RFI-Ki

1 DRC: Kujerea kwa Joseph Kabila kwaibua hisia mseto 10:05
10:05
Putar Nanti
Putar Nanti
Daftar
Suka
Menyukai10:05
Katika makala haya shaba yetu inalenga nchini DRC, ambapo Rais mustaafu wa DRC, Joseph Kabila, ametangaza kurejea nchini humo, kutoka nchini Afrika Kusini ambako amekuwa akiishi kwa zaidi ya mwaka moja , ili kuchangia kutafuta suluhu kwa mzozo wa usalama mashariki mwa nchi yake. Unazungumziaje hatua hii ya Kabila? Ndilo swali tulikuuliza, skiza makala haya kuskia maoni ya waskilizaji wetu.…
Selamat datang di Player FM!
Player FM memindai web untuk mencari podcast berkualitas tinggi untuk Anda nikmati saat ini. Ini adalah aplikasi podcast terbaik dan bekerja untuk Android, iPhone, dan web. Daftar untuk menyinkronkan langganan di seluruh perangkat.