…
continue reading
1
Tanzania:Juhudi za wabunifu katika kupunguza hewa ya ukaa kutunza mazingira
9:59
9:59
Putar nanti
Putar nanti
Daftar
Suka
Menyukai
9:59
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Masuala na Utalii, katika taarifa ya misitu na ufugaji nyuki inabainisha kuwa mkaa ni chanzo kikubwa cha nishati ya kaya katika maeneo ya mijini kwa kupikia na kupasha joto, kwa kuwa inachukuliwa kuwa ya bei nafuu na inapatikanakwaurahisi. Inakadiriwa kuwa asilimia 85 ya watu wote wa Tan…
…
continue reading
1
Fursa za uchumi wa buluu zilizopo katika Ziwa Victoria
9:59
9:59
Putar nanti
Putar nanti
Daftar
Suka
Menyukai
9:59
Uchumi wa Buluu ni dhana pana yenye kubeba maana nzima ya kutumia kila rasilimali itokanayo na rasilimali maji kama Bahari, mito na maziwa. Dhana hii ubeba shuguli mbalimbli ikiwemo utalii, uvuvi, kilimo cha mwani, bandari pamoja na mafuta na gesi zilizomo baharini au katika maziwa. Kwa wakazi wa Jumuiya ya Afrika mashariki hasa katika mikoa inayo …
…
continue reading
Wagonjwa wengi barani Afrika wanahisi kuwa gharama ya matibabu ya figo ipo juu zaidi.Oleh RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Sehemu ya pili: Mradi wa kilimo unaofadhiliwa na AFD mjini Arusha
9:59
9:59
Putar nanti
Putar nanti
Daftar
Suka
Menyukai
9:59
Mradi wa kilimo endelevu unatanua mbawa zake sio tu katika kilimo bali pia kuwajengea uwezo wakulima kufanya shuguli za ufugaji. Mradi huu unatekelezwa kwa ufadhiri wa shirika la maendeleo la Ufaransa AFD katika mkoa wa Arusha nchini Tanzania unakwenda mbali zaidi hadi kuwafikia wanamazingira. Mafuzo wanayopata wanasema yamekuwa chachu yakubadili M…
…
continue reading
1
Utekelezaji wa miradi inayofadhiliwa na shirika la maendeleo la Ufaransa (AFD)
9:58
9:58
Putar nanti
Putar nanti
Daftar
Suka
Menyukai
9:58
Karibu Katika Makala ya Afrika mashariki hii leo inatuwama katika Mkoa wa Arusha palipo makao makuu ya Jumuiya ya Afrika mashariki tukiangaza juu ya miradi ya kilimo endelevu inayotekelezwa kwa ufadhili wa Shirika la maendeleo la Ufaransa AFD.Oleh RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Changamoto zinazotokana na migumo ya wahudumu wa sekta ya usafiri Afrika
9:59
9:59
Putar nanti
Putar nanti
Daftar
Suka
Menyukai
9:59
Raia wengi wa mataifa ya Afrika Mashariki hutegemea pakubwa sekta ya usafiri wa umma kusafiri kutoka sehemu moja hadi nyengine.Oleh RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Simulizi ya maisha ya aliyekuwa rais wa Tanzania, Hayati Hassan Mwinyi
9:58
9:58
Putar nanti
Putar nanti
Daftar
Suka
Menyukai
9:58
Historia ya rais mstaafu wa Tanzania, hayati Hassan Mwinyi wakati wa uhai wake.Oleh RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Heshima aliyopewa hayati Julius Nyerere
9:59
9:59
Putar nanti
Putar nanti
Daftar
Suka
Menyukai
9:59
Mwalimu Julius Nyerere alifanya kazi kwa bidii kuona kuwa Afrika inakuwa kitu kimoja.Oleh RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Tanzania: Simulizi ya maisha ya waziri mkuu wa zamani Edward Lowassa
9:59
9:59
Putar nanti
Putar nanti
Daftar
Suka
Menyukai
9:59
Mwandishi wetu wa Mwanza Martin Nyoni anaangazia maisha ya kisiasa ya aliyekuwa waziri mkuu wa zamani nchini Tanzania Edward Lowassa.Oleh RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Kufungwa kwa mpaka kati ya nchi za Rwanda na Burundi
9:59
9:59
Putar nanti
Putar nanti
Daftar
Suka
Menyukai
9:59
Changamoto za kufungwa kwa mpaka kati ya Rwanda na BurundiOleh RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Harakati mpya za vikosi vya SADC mashariki ya DRC
9:56
9:56
Putar nanti
Putar nanti
Daftar
Suka
Menyukai
9:56
Vikosi vya SADC vinapelekwa mashariki mwa DRC kusaidia kurejesha amani. Hatua inayokuja baada ya kuondoka kwa vile vya Afrika Mashariki ambavyo vilituhumiwa na serikali ya Kinshasa kushindwa majukumu yao.Oleh RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Muhula wa pili wa rais Felix Tshisekedi nchini DR Congo
9:57
9:57
Putar nanti
Putar nanti
Daftar
Suka
Menyukai
9:57
Makala ya wiki hii yanaangazia ahadi za rais Felix Tshisekedi katika muhula wake wa pili kama kiongozi wa DRC.Oleh RFI Kiswahili
…
continue reading
Wanafunzi wengi katika mataifa ya Afrika Mashariki wamerejea shuleni wiki hii.Oleh RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Hatua Somalia kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki
9:59
9:59
Putar nanti
Putar nanti
Daftar
Suka
Menyukai
9:59
Wachambuzi wa mambo wanasema kuwa hatua ya Somalia kujiunga na EAC, itaisaidia katika vita dhidi ya makundi ya watu wenye silahaOleh RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Wanawake katika sanaa ya uchoraji nchini Tanzania
9:59
9:59
Putar nanti
Putar nanti
Daftar
Suka
Menyukai
9:59
Makala ya wiki hii yanaangazia namna wanawake nchini Tanzania wamegeukia sanaa hii ya uchoraji.Oleh RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Uelewa wa wananchi wa Mwanza kuhusu mvua za El Nino
9:59
9:59
Putar nanti
Putar nanti
Daftar
Suka
Menyukai
9:59
Baadhi ya mataifa ya Afrika Mashariki yameendelea kufanya maandalizi kuelekea mvua za El Nino.Oleh RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Nishati inachangia asilimia kubwa kwa ukuaji wa Uchumi wa mataifa
9:56
9:56
Putar nanti
Putar nanti
Daftar
Suka
Menyukai
9:56
Sekta ya Nishati ndiyo mhimili muhimu wa maendeleo ya taifa lolote lile, Mathalan takwimu zinaonesha, mahitaji ya juu ya umeme yameongezeka ambapo serikali ya Tanzania inasema kuwa muelekeo ni kuongeza katika Gridi ya Taifa MW 218.67 na kufikia MW 1,913.22 ifikapo mwishoni mwa mwaka 2022/23.Oleh RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Biashara ya samaki na dagaa jijini Mwanza nchini Tanzania.
9:59
9:59
Putar nanti
Putar nanti
Daftar
Suka
Menyukai
9:59
Makala ya wiki yanaangazia namna wanawake waendeleza biashara ya samaki nchini TanzaniaOleh RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Tanzania: Jamii zinavyo shiriki katika utunzaji wa hifadhi ya Ruaha
9:58
9:58
Putar nanti
Putar nanti
Daftar
Suka
Menyukai
9:58
Jamii zinavyo shiriki katika utunzaji wa hifadhi ya RuahaOleh RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Juhudi za kusambaza umeme nchini Tanzania
9:59
9:59
Putar nanti
Putar nanti
Daftar
Suka
Menyukai
9:59
Zaidi ya watu milioni mia tano kusini mwa jangwa la sahara wanakabiliwa na tatizo la umeme.Oleh RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Nafasi ya muungano wa BRICS kwa mataifa ya Afrika
9:59
9:59
Putar nanti
Putar nanti
Daftar
Suka
Menyukai
9:59
Viongozi wa kundi la mataifa ya BRICS - Brazil, Russia, India, China na Afrika Kusini hvi karibuni wamekutana mjini Johannesburg nchini Afrika kusini na ajenda muhimu mezani ikiwa ni kukubali ombi la kuongeza wanachama wapya ndani ya muungano huo. Tunaangazia mkutano huu wiki hii.Oleh RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Vijana na ushiriki wa fursa ndani ya Afrika mashariki
9:59
9:59
Putar nanti
Putar nanti
Daftar
Suka
Menyukai
9:59
Namna Jumuiya ya Afrika Mashariki inawapa vijana nafasi na fursa za kujiendeleza kimandeleo.Oleh RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Juhudi za muungano wa makabila kusaka amani DRC
9:59
9:59
Putar nanti
Putar nanti
Daftar
Suka
Menyukai
9:59
Ukabila umetajwa kuwa mojawapo ya mambo yanayochangia katika utovu wa usalama nchini DRCOleh RFI Kiswahili
…
continue reading
1
Mgogoro wa Kenya na athari kwa uchumi Afrika
9:49
9:49
Putar nanti
Putar nanti
Daftar
Suka
Menyukai
9:49
Makala ya wiki yanaangazia athari za kiuchumi zinazotokana na maandamano ya kupinga kupanda kwa gharama ya maisha nchini Kenya kwa bara AfrikaOleh RFI Kiswahili
…
continue reading